Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo niliiona

Na ulipendeza hatari

Ulitisha sana [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]halafu unakumbuka ahadi yetu ya kufanya mashindano? ulinambia utakuja na ndinga. Hatujaitekelezaga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaaah aseeeeh, nmekumbka lini sasa? Maana ndinga enyewe now iko mbali, ko inakuaje?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. Mala moja moja kula pensi tokelezeaa kula pedo unawakaa chini snicker moja matata ya filaaa.. kama mbele vile.. acha ukoloni Yesu anakaa moyoni
Na huu mwili ni hekalu la roho mtakatifu.
Wahubirie mabinti waliheshimu hekalu..pensi na bikini wavae wakiwa faragha.
 
Na hao wanaotetea dini wako biased
Kuna dhambi wanaziona takataka ila zipo zile wanazozofavor na kuzipambania.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Huna hoja.. dogo. Bible ipo very clear katika habari ya dhambi, katika habari ya haki etc.. sio peke yako mkristo au sio peke yako mwenye Roho.. Kilicho dhambi kipo clear na kisicho dhambi kipo clear
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sina mbavu hapa khaaaah


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Huna hoja.. dogo. Bible ipo very clear katika habari ya dhambi, katika habari ya haki etc.. sio peke yako mkristo au sio peke yako mwenye Roho.. Kilicho dhambi kipo clear na kisicho dhambi kipo clear
Basi tufanye wewe mwenye hoja za pedo uko sawa kwa mtazamo wako.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unakuta kavaa na wigi la ajabu utadhani amejitwisha kuku tetea
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ hapo unamktaaa mapema tu.. kukutana kituo cha kazi
 
Sidanganyiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. huwezi nijaza upepo kirahisi nikamwaga mbogaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijakudanganya na sitaki wee utume hapa, ila nawazoom nyie wasoma bible mnavokinzana ktk kusimamia hicho mnachokisoma,

Sie tunawatazama tyuuh hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Basi tufanye wewe mwenye hoja za pedo uko sawa kwa mtazamo wako.
Pedo sio dhambi, kimini sio dhambi, suruali sio dhambi, vipini sio dhambi, vikukuu sio dhambi na urembo inshort sio dhambi.. ukitaka kimaandiko nita prove, ukitaka kisiasa nita prove na ukitaka kimazoea pia nita prove πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…