Selfika na JF: Snap it. Show it

Na hakika wachache wapo kwenye njia ya haki.
Tuna hesabiwa haki bure kabisa kwa ajiri ya Damu yake aliyo mwaga msalabani.. hatu hesabiwi haki kwa kazi na matendo ya mwilini au kazi zetu.. bila hivyo Kristi alijitaabisha msalabani πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
muulize mahondaw mie n mzungu bhana,
Wee eti anavaa kipusa hivyo, mie full naked na niliweka hapa lol.
Ataniweza wapi huyoooo wako? Aje nimpe darasa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ndio uone watu walivyo wanafiki kwenye dhambi.
Uliplleta ushoga huku walikutenga sana na kukemea vikali,,, na kukuona hufai
Ila kwenye kuvaa hovyo wanakupambania nankukupamba kwa hali zote.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ushoga nani anafurahi.. kigezo cha kumtenga mtu ni kipi? unajuaje kama sijamtenga au nimemtenga.. naweza kukuambia nakupenda na nikawa nakuchukia kuoita kiasia na ukikutana na mie nakuchekea 😎😎😎
 
Ndio uone watu walivyo wanafiki kwenye dhambi.
Uliplleta ushoga huku walikutenga sana na kukemea vikali,,, na kukuona hufai
Ila kwenye kuvaa hovyo wanakupambania nankukupamba kwa hali zote.
Unajua nn mie ndo maana kwenye masuala ya dini nilishakataa na huwa sitaki kuelezea, coz najua natetea vitu vunavyokinzana na hiyo dini, stakagi unafiki hata mie.

Nawazoom tyuuh hapa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Na hao wanaotetea dini wako biased
Kuna dhambi wanaziona takataka ila zipo zile wanazozofavor na kuzipambania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…