Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
ππππππ.. Go back to genesis ndio utaelewaaa kidogoooo.. mambo ya mavazi, vikukuuu.. vipini puani mambo kama hayooo inabidi tukishtue kidogo siku moja moja ule ki pensiBasi wewe na uliowafundisha wote mnaenda kudumbukia shimoni.
Siwezi kupita hilo darasa aisee.
Kumbe unaabudu mtu[emoji848][emoji849]Usimlinganishe Mwakaseghe na vitu vya ajabu
Oyeeee... karibu. Uone watu walivyo under control ya Holy Ghost na wamekula vimini vya kumtoa nyoka pangonii ππKumbe mwenzetu una confirmation tayari ya kwenda.
No wonder.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipumzishe kwan eti, lolweeeeeeeeeeeee dadaaaaa[emoji2960].
ntakupenda shauri yako[emoji16][emoji16]
Kwa sentensi hio inaonesha namna ulivo shallow kwenye hayo Mambo...waachie wataalamuUsimlinganishe Mwakaseghe na vitu vya ajabu
Ah wapiOyeeee... karibu. Uone watu walivyo under control ya Holy Ghost na wamekula vimini vya kumtoa nyoka pangonii [emoji39][emoji39]
Ewaaaa... weka order nikienda dubai nakule vyenyewe kabisaaa... OG achana na hivyo vya k. koo sijui sinzaaa.. kula kibukta, kula kipedo kula snicker kali pale.. safii na kikuu cha gold mguuni.. πππ[emoji28][emoji28]
Hahahha vibukta sina inabidi nitafute Uncle ...
Maisha ni haya haya .
Mdau yupi huyo [emoji28]..Na unapendeza[emoji39]
Kuna mdau anadai
Uvaaji wa hivyo
Ni wa kichang d .o.a[emoji1787]
Hebu na wewe mtalaamu toa tathmini zakoKwa sentensi hio inaonesha namna ulivo shallow kwenye hayo Mambo...waachie wataalamu
Mimi niende huko au wewe?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. Go back to genesis ndio utaelewaaa kidogoooo.. mambo ya mavazi, vikukuuu.. vipini puani mambo kama hayooo inabidi tukishtue kidogo siku moja moja ule ki pensi
[emoji3][emoji3] Mimi sio mtaalamu kiviiiiiile natania tuHebu na wewe mtalaamu toa tathmini zako
Huyu mdogo ake mtu
Kulikuwa na efu 3 zanguWatu na mapene yao, wacha wee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
@Wigelekelo 9.8ms squared najua unajuaStaha ipi
Kwanza tuanzie hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahha nitaweka order aisee ...Ewaaaa... weka order nikienda dubai nakule vyenyewe kabisaaa... OG achana na hivyo vya k. koo sijui sinzaaa.. kula kibukta, kula kipedo kula snicker kali pale.. safii na kikuu cha gold mguuni.. [emoji1][emoji1][emoji1]
πππ Tumepikwaa 10 years school zote.. hizi zimekaa kwa headBwana mwakasege mgodo full nondo
acha wazee wazee waendelee kuvaaaa kizee zeee πππHahahha nitaweka order aisee ...
Inapendeza kubadilisha mwonekano mara moja moja. Kwenye kikuku sasa [emoji23] [emoji23].
ππππ dogolai inabidi ubadirike..Mimi niende huko au wewe?
Huko nilishapita.