Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
ππ Mie mwenyewe mwalimu.. hakuna andiko la mavazi.. isipokuwa kuna maelekezo ya mavazi na yalitolewa katika jamii flani na ilikuwa kwasababu.. sasa kama unachukua andiko ambalo lilikhwa direct kwenye jamii fulani na kutaka lifanye kazi kote ume fail ππππMtafute sasa mwimu wa Neno la Mungu akufundishe
Maana hili ni somo.
OP [emoji3][emoji3][emoji2][emoji2] Mie mwenyewe mwalimu.. hakuna andiko la mavazi.. isipokuwa kuna maelekezo ya mavazi na yalitolewa katika jamii flani na ilikuwa kwasababu.. sasa kama unachukua andiko ambalo lilikhwa direct kwenye jamii fulani na kutaka lifanye kazi kote ume fail [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mahaba niueMahaba yamekuelemea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi weekend shouzzz ake. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nipo shos!! Vipi ka selfie leo utatupiamo??[emoji849][emoji12]
πππ dogolai hajui kuwa mie mwenyewe ni mwalimu wa walimu wa biblia.. huenda walimu walio mfundiasha walishapitia kwenye darasa ambalo nilikuwa namwaga nondoOP [emoji3][emoji3]
Kumbe unajua yote mwenzetu hongera.[emoji2][emoji2] Mie mwenyewe mwalimu.. hakuna andiko la mavazi.. isipokuwa kuna maelekezo ya mavazi na yalitolewa katika jamii flani na ilikuwa kwasababu.. sasa kama unachukua andiko ambalo lilikhwa direct kwenye jamii fulani na kutaka lifanye kazi kote ume fail [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] man u wanalo hili lol.Huyu nwamba amenivunja mbavu zote hasa alivyofanya finishing sentensi yake ya mwisho.
Aiseee ukitaka kucheka ingia uzi wa man uView attachment 2152662View attachment 2152663
Bora yako msabato ulio changamka.. mala moja moja piga na vi buktaaa ππππ asie penda ajirushe mbinguni[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi siwezi sema neno hapo maana nasuka na kuvaa vinguo vifupi muda mwingine .
Bwana mwakasege mgodo full nondo[emoji1][emoji1][emoji1] dogolai hajui kuwa mie mwenyewe ni mwalimu wa walimu wa biblia.. huenda walimu walio mfundiasha walishapitia kwenye darasa ambalo nilikuwa namwaga nondo
Na unapendeza[emoji39][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi siwezi sema neno hapo maana nasuka na kuvaa vinguo vifupi muda mwingine .
Watu na mapene yao, wacha wee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haka kaeneo jamani [emoji41]View attachment 2152672
Suruali kitu gani bwanaaa.. wanavaaa mini na pedola kabisaaa.. na mbinguni utatukuta tunasifu mbele ya kiti cha enzi πππKumbe unajua yote mwenzetu hongera.
Wewe ni fundi.
Bila shaka unasali kanisa ambalo wanawake wanavaa suruali.
Basi wewe na uliowafundisha wote mnaenda kudumbukia shimoni.[emoji1][emoji1][emoji1] dogolai hajui kuwa mie mwenyewe ni mwalimu wa walimu wa biblia.. huenda walimu walio mfundiasha walishapitia kwenye darasa ambalo nilikuwa namwaga nondo
ashindwe na alegeeee tutaonea wapi neema sie ππNa unapendeza[emoji39]
Kuna mdau anadai
Uvaaji wa hivyo
Ni wa kichang d .o.a[emoji1787]
Halelujaaaah[emoji1787][emoji1787]Suruali kitu gani bwanaaa.. wanavaaa mini na pedola kabisaaa.. na mbinguni utatukuta tunasifu mbele ya kiti cha enzi [emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe mwenzetu una confirmation tayari ya kwenda.Suruali kitu gani bwanaaa.. wanavaaa mini na pedola kabisaaa.. na mbinguni utatukuta tunasifu mbele ya kiti cha enzi [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji28][emoji28]Bora yako msabato ulio changamka.. mala moja moja piga na vi buktaaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] asie penda ajirushe mbinguni
Usimlinganishe Mwakaseghe na vitu vya ajabuBwana mwakasege mgodo full nondo