Mnazidi tuu kufanana na b...
Kama ni broila hii... unakula paka mifupa.15 minutes beforeView attachment 1218204
Shacman Og
Sawa dearHamna bana: napitaga kimya kimya mara nyingi tu
Leo jumapili ujueMSHINDWEEEE
HallelujahMsubiri tu hadi siku atakayorudi Messiah
Pale kibaoniWapi huko?
Tupia kapicha Ka kifua Behaviourist aone wivu.Picha gani?
Hapa tayari ushampa ujumbeTupia kapicha Ka kifua Behaviourist aone wivu.
Behaviourist umeona mkono wa mwanaumeHapa tayari ushampa ujumbe
Kwahiyo kaka shemeji ulikuwa unatafuta koti la kanisani ndio utudolishie?Kabla ya misa. View attachment 1218436
Huyu ni Me au Ke?