Nimempenda tu.. Hakuna nachoweza kufanya huko PmUmempenda yeye au picha aliyoipost hapa Jemedari?
Kama ni yeye muibukie PM, haina mbaya.
Hivi Shunie toka wamuibie simu hajanunua nyingine?Pale kibaoni
Shunie ako na simu, sema amekuwa busy kupita maelezoHivi Shunie toka wamuibie simu hajanunua nyingine?
Hizi ndio picha sasaKabla ya misa. View attachment 1218436
Mbona hata mimi pia ni mzee??Megundua mzee JF ni babu Asprin pekee
unafanana na counsin yake shetani