Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Ndio maana nimesema kisayansi.. ila kama damu ya generation ipo safi mbona poa tu.. maana pia wapo wasio kuwa na hiyo shidaaa.. Ibrahim mwenyewe alimtuma msaidizi wake kumchukulia Isaka mke kwenye nyumba ya ndugu zake.. ina advantages na disadvantage.. For me haina shida ndugu kuoana. na sio dhambi pia biblicalNa wanazaa matahira Sana sababu ya inbreeding. Sema wanawaficha.
Haaaa hapana. Sheria huwa zinatokana na utamaduni wa watu. As long as huo utamaduni hatuna, na sharia ikaharamisha basi sio jambo la busara kulifanya.Ndio maana nimesema kisayansi.. ila kama damu ya generation ipo safi mbona poa tu.. maana pia wapo wasio kuwa na hiyo shidaaa.. Ibrahim mwenyewe alimtuma msaidizi wake kumchukulia Isaka mke kwenye nyumba ya ndugu zake.. ina advantages na disadvantage.. For me haina shida ndugu kuoana. na sio dhambi pia biblical
Poaaaah shostieee,Mambo shosti ..
Mimi nakutafutia ya zamani maana sasa hivi sina mood ya picha .
Nitakutumia Pm .
dada hawezi kukuomba na ya kutolea kuna mamabo mengi sana mtapunguza 😬😬😬 sema hivyo basiHaaaa hapana. Sheria huwa zinatokana na utamaduni wa watu. As long as huo utamaduni hatuna, na sharia ikaharamisha basi sio jambo la busara kulifanya.
Boss lediiiiiAnything for you shos akeee!Shimba Ya Buyenze msukuma nakusalimu kwa jina la SelfikaView attachment 2151294
Weuweeeeeeeeeeeeh shouzzzzzzzz sio kwa vazi hilo la leo, mbna umetoka ki afisa tena ki balozi balozi yaan,Anything for you shos akeee!Shimba Ya Buyenze msukuma nakusalimu kwa jina la SelfikaView attachment 2151294
Hiyo ni tabia ya kike, Hata dada atafanya tu.dada hawezi kukuomna na ya kutolea kuna mamabo mengi sana mtapunguzasema hivyo basi
St Anne ni kichomiNimpate wapi "mtoto" mwenye busara, hekima, utulivu, unyenyekevu, hofu ya Mungu kama Huyu Saint Anne
😀😀😀😀 hapana hiyo tabia ni ya mtu na sio tabia ya kike. Sema nimechelewa kuna binadamu yangu kisu kishenzi sema kaisha wahiwaa.. wangechelewa tu ningeweka ndani.Hiyo ni tabia ya kike, Hata dada atafanya tu.
Ukute huyu ni balozi wetu wa TANZANIA huko TurkeyWeuweeeeeeeeeeeeh shouzzzzzzzz sio kwa vazi hilo la leo, mbna umetoka ki afisa tena ki balozi balozi yaan,
Noga sana shouzzzzzzzz ake,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mbishi, Ila nammudu Mtu mbishiSt Anne ni kichomi
Hivi mimi ni mbishi eeh??Mbishi, Ila nammudu Mtu mbishi
Mimi niliokutana nao wengi wanapenda zaidi kupewa na mwanaume. Na wengine wanapenda vitu sio Hela.hapana hiyo tabia ni ya mtu na sio tabia ya kike. Sema nimechelewa kuna binadamu yangu kisu kishenzi sema kaisha wahiwaa.. wangechelewa tu ningeweka ndani.
Hahaaaaaa hukatishi ubishi mpaka ushindeHivi mimi ni mbishi eeh??
Marahaba Boss Lady...na asante sana. Jana hukuonekana hapa na nilikuulizia mno mpaka nikazidisha. Usipokuwepo hapa tunakuwa kama watoto yatima tu yaani. Hatuwezi kuishi bila Boss Lady hapa jamani. Hata siku ukitingwa na majukumu yako angalau toa angalizo mamake.Anything for you shos akeee!Shimba Ya Buyenze msukuma nakusalimu kwa jina la SelfikaView attachment 2151294
Wewe ni asali yangu
View attachment 2151302
Mtaachana tuuWewe ni asali yangu
View attachment 2151302
Ukute huyu ni balozi wetu wa TANZANIA huko Turkey
Anapiga pamba high quality kama za kituruki hivi ukijumlisha na shepu yake na ile rangi ya mtume wetu pendwa Muhammad (S.A.W) basi mambo ni
Neema za Mola hizi