Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Nini mamiii
Unatumiaga hayo makitu?[emoji57][emoji57][emoji57]
Unatumiaga hayo makitu?[emoji57][emoji57][emoji57]
Haya tukijiandaa kumlaza pyramids..lazima tuandae cha kusindikizia
Bachelor sugu[emoji41]View attachment 1246097
Wale walokumbuka kusali,ndo tunatokea kwa church!View attachment 1246106
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ya pili naonaga uvivu. Ya kwanza ndio huwa tunajaa wazee.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Njoo nikupikie keki nikununulie na mirinda nyeusi kubwa, unyweee hadi uvimbiwe.
Kimbia uje, kupika keki ni rahisi kuliko chapati[emoji28][emoji28][emoji28][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hivi unajua nitakuja kweli mimi jamani!!
Mirinda nyeusi na keki utaniuaa kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mnoo jamani
Kwa mtoko huu naamini maombi yako yamesikika❤️❤️❤️Wale walokumbuka kusali,ndo tunatokea kwa church!View attachment 1246106
Jamaniiii [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kimbia uje, kupika keki ni rahisi kuliko chapati[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo wahi, ukifika utaikuta tayari.
HallelujahWe Mshana huyu Sakayo Dada yangu wa mambo ya ukubwa wewe mpare unamtakia nini???We sakayo Tulia nitakununulia Dream liner ili wasikusumbue hapa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki uchochezi wakoo auntie
Tumsifu Yesu Kristo Mr sumbaiAfter church....ni mwendo wa kutafakari nenoView attachment 1246165
HallelujahKwa mtoko huu naamini maombi yako yamesikika[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hebu tuione[emoji39][emoji39][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]hujatuliaaaaa