Selfika na JF: Snap it. Show it

Jirani inabidi tupige road trip moja ya kibabe... niliunge tela tukaachane pale kama unaenda kipalapala mie narudi chini kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huku tabora boy nanyanyuaaa paka igombe kuogelea
Aahahahahaa jiraniiii, nimerejea.

Imeishaaa hiyoooo, imebaki utekelezaji tuu...πŸ˜‹πŸ˜‹

Ila isiwe kipindi cha mvua tafadhali.

Huko kuogelea πŸ€”πŸ€”πŸ€”..... Yaani tutoke Dar gari moja tunapokezana u co-driver halafu nikuache kipalapala...!!

Au kila mtu anakuwa kwenye usukani wake...?? Sijakuelewa jiranii.
 
Natembeaga nazo πŸ˜‡πŸ˜‡ naogopa kutembea na bangii askari huwa kama wanadawaView attachment 2148967

Well sijui ni imani au mazoeaaa....

Yaani energy drink zote zilizokuja baada ya Redbull.... kuliko nizinywe nikikosa Redbull bora nikubali kuwa teja.

Dereva bajaji alikufikisha salama jirani?
 
Well sijui ni imani au mazoeaaa....

Yaani energy drink zote zilizokuja baada ya Redbull.... kuliko nizinywe nikikosa Redbull bora nikubali kuwa teja.

Dereva bajaji alikufikisha salama jirani?
Sio imani ni ukweli mtupu Redbull baba lao.. nakuwaga nazo kwenye begi kama sio begi kwenye siti ya nyuma ya gari huwa nazijaza kama dukani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ bila kusahahu strawberry.. bajaji aliniacha salama na sasa hivi nipo Gairo baridi hapa kha πŸ“πŸ“
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sijui niliandika manini safari mkianza pamoja shurti mmalize pamoja.. baada ya hapo Lushoto.. ni kuacha alama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…