reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,306
Ameen ameen!!!nawe pia my friendNakumbea baraka za siku ya leo ziambatane na kila ulifanyalo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ameen ameen!!!nawe pia my friendNakumbea baraka za siku ya leo ziambatane na kila ulifanyalo
Mabaharia tu ndiyo tunaelewa haya matumizi kama huelewi mkuu tambua wewe siyo baharia na kama ungependa kuwa baharia basi fuata taratibu upate usajiri rasmi kwenye chama letu au mtafute lemutuz au le mubebez atakupa taratibu za namna ya kujisajiri😜Matumizi gani ya picha...!
Ngoja nitangulieLeo ni siku yangu jamani uwiii. Mpaka Mama Mchungaji akiwa katika kilele cha ubora wake. Atakayepitwa na hii afadhali aondoke tu JF aisee. Uwii!!!![]()
Kwema mkuu MjepMabaharia tu ndiyo tunaelewa haya matumizi kama huelewi mkuu tambua wewe siyo baharia na kama ungependa kuwa baharia basi fuata taratibu upate usajiri rasmi kwenye chama letu au mtafute lemutuz au le mubebez atakupa taratibu za namna ya kujisajiri![]()
Hahaaaaaa, nshatoka stage hiyo. Halafu kwa Nini uzitupe rasilimali asili wakati Kuna sehemu zahitajika! Hiyo dawa ya kansaMabaharia tu ndiyo tunaelewa haya matumizi kama huelewi mkuu tambua wewe siyo baharia na kama ungependa kuwa baharia basi fuata taratibu upate usajiri rasmi kwenye chama letu au mtafute lemutuz au le mubebez atakupa taratibu za namna ya kujisajiri![]()
Bado uko mkoani bro au usharudi Dom? I hope kila kitu ni shwari!Ngoja nitangulie
Asante mkuu. Siku nikinunua ndinga hii habari itanisaidiaKwenye dash board ya gari, ukiangalia geji ya mafuta hua kuna kamshale flani kwenye ka alama ka tank ya mafuta. Kwa wengi tusiofahamu, ama either umeazima gari ya mtu au gari ni mpya. Kale kamshale hua kanaelekeza direction ya tanki la mafuta lipo upande gani WA gari. View attachment 2148672

Asante mkuu. Siku nikinunua ndinga hii habari itanisaidia![]()

Siku nyingi sijakusalimia shem. Kwema huko Idodomya? Wanangu hawajambo na huyo mla senene waliopashwa moto Italy?
Pamoja mkuuAsante mkuu. Siku nikinunua ndinga hii habari itanisaidia![]()

Oohh!Shem tuko poa sijui familia yetu,Dom tuko poa bishanga hajambo kabisaa!!!Siku nyingi sijakusalimia shem. Kwema huko Idodomya? Wanangu hawajambo na huyo mla senene wa Italy?
Barikiweni!
anakusalimu


Aaah huyo bishanga simfagilii wala nini. Nakutaka urudi nyumbaniOohh!Shem tuko poa sijui familia yetu,Dom tuko poa bishanga hajambo kabisaa!!!anakusalimu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app



Kisa jamani Shem akeeAaah simfagilii wala nini![]()


?!!Nakutaka urudi nyumbani shem...

Too late to catch the train...!!!!Shem!!!Nakutaka urudi nyumbani shem...
Ukoo mzima tunakumiss![]()
Nimejifunza kitu kipyaKwenye dash board ya gari, ukiangalia geji ya mafuta hua kuna kamshale flani kwenye ka alama ka tank ya mafuta. Kwa wengi tusiofahamu, ama either umeazima gari ya mtu au gari ni mpya. Kale kamshale hua kanaelekeza direction ya tanki la mafuta lipo upande gani WA gari. View attachment 2148672
Naelewa. Nafunga safari kuja Dom tuje tukae pale kwenye kuku watamu (Tango?) nipambanie ukoo labda utanielewa.