Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,578
- 235,424
Hapohapo piga kapicha boss lediAnne hapo sitaki mimi! naona turudi tu kwenye kunijaza [emoji1787]
Nimemaliza msukuma!!Bosi ledi una mpango wa kutupia nyingine au niondoke zangu tu?
What a day!
Sasa tunaingia na wimbo gani?Eeeeeh ndiyo hivyo hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh wamama wa siku hizi tumegoma kuzeeka, tunapambana na kina Anne tu na wasipokuwa makini tunawakalisha
Mkifika age yetu mmechokaaq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtukalishe mara ngapi sasa?
Sifa ninazokupa ni amini na kweli.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana nimeacha nimeacha ma mchungaji Anne ni next level!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Good night Bosi Ledi. Asante kwa kuifanya siku hii kuwa ya mibaraka. Na Mama Mchungaji akapigilia msumari. Thanks daughters of God [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nimemaliza msukuma!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Afu chini umegonga na kitu Cha Inch 4+; twende taratibu mdogo angu
Huu hapa.Sasa tunaingia na wimbo gani?
Hakuna anayeweza kubisha. Boss Ledi ni moto wa kuotea mbali na ana roho njema.Sifa ninazokupa ni amini na kweli.
Kuna mtu anabisha??
Aje
Wanyaki hatuna shughuli ndogo. Hiyo siku watajua hawajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiatu sawa
Ila hiyo robo mita ya mkono hapana[emoji23]
Nitadondoka,,mkono wenyewe mdogo huu
Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Huu hapa.
"Ooooh aaaah ouyeaaaah hapo hapo baba mchungaji, ongeza speed ya kinanda oooooh uuuuuh aaaaaah, kanyaga piano baba nitoe sauti ya kwanza, ooooh aaaaaah uuuuuh eeeeeeh hallelujah babaa koleza wimbo niyatoe maneno makuu kwako na uyasikie"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya ibadaa, utakuja kunishukuru. Woiiiiiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hiyo sherehe mtafanya wenyewe??Wanyaki hatuna shughuli ndogo. Hiyo siku watajua hawajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na alivyo na roho nzuri atakuja tena hapa kutubariki na picha kaliiHakuna anayeweza kubisha. Boss Ledi ni moto wa kuotea mbali na ana roho njema.
Hujambo?[emoji102]
Kweli misiba tulie tugalegale vile; afu eti harusi uondoke kimyakimya as if umeiba mume wa mtu; weeeeeeHiyo sherehe mtafanya wenyewe??
Mimi sipendi sherehe[emoji16]
Ila ninavyowajua watu wa Mbeya aisee kuanzia tu nyie ndugu zangu mtatamani mninyonge[emoji23]
Tutakuwa hoiiMkifika age yetu mmechokaaq[emoji1787][emoji1787][emoji1787]