Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Sasa si tunaabudu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ??Kwamba mnaanza na wimbo wa kuabudu kuvuta uwepo au? Olewa kwanza nyau wewe
Pastor Rose Shaboka yes. Watu wanachukulia ulokole kama wa watu wasiojua vitu vizuri, wanasindikiza tu wengine duniani. Siku hizi walokole wamefunguka sana aisee🤣🤣Kuna Mchungaji mmoja anaitwa Rose nadhani kuna clip inazunguka alikuwa anawapa za uso akina mama wa kilokole kuwa wakiingia kunako 6 kwa sita watupe ulokole wao kule nilicheka sana. Halafu Mchungaji mwenyewe ni pisi kali hatari dah! Nadhani ndilo litakuwa kanisa langu hilo. Ana mafundisho mazuri sana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan mie sasa n Rose shaboka huyooo, aliwachana walokole wazi wazi na ufia dini wao hadi bedroom, na aliwachana kweli kweli, hahahah ile clip ninayo hapa, ndo naitazama nicheke wee hadi baas.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ma mchungaji tafadhalini na cocastic wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji23] mjue usiku huu sitaki kucheka mie Kama chizi[emoji1787][emoji1787]!
Muache afunge hiyo safariSasa si tunaabudu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ??
Hii imekaaje mkuu??
Dah! ,
Usifanye mtoto wa watu akafunga safari mapema kwenda nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanisa lake lipo sehemu gani? Namkubali sana huyo mama...Ile clip ninayo kabisaaaaaa, mda wote naitazama, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namfatilia sana Rose Shaboka, aliniacha hoi, eti mume wake alimpata chuo kikuu UDSM mlimani, alipomtongoza hakukataa wala nn alitoa no yake hapo hapo, uwiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kwan kesho niende ibadani kwake, kawa kungwi wangu. Woiiiiiiih.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Halafu mimi niondoke nyumbani mapema hivi?[emoji16]Muache afunge hiyo safari
Basi sawa shouzzzzzz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa shos!!
Kabisa yaani[emoji23]Washindweeee. Mbona upo busy na selfies zako, sionagi hata ukikwaruzana na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walokole wanalo hili, weuweeeeeeeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chawa kama chawa
Kabisa nitakujaje kumshtaki selfika mimi!!!!!🤣Huyo boya atakayefanya hivyo wanaselfika atatubebea mbeleko gani? Kila mtu aishi maisha yake. Huna shida na mtu unakuja humu unacheka na watu unakwenda zako. Ya nini kupangiana maisha?
WoyooooooooWe endelea tu kunijaza..kesho una vocha yako spesho ya kunitia ujinga [emoji1787]
... ma mtumishi nahuo mwili ulivo potabo afu anaonekana mwepesi sasa waauweeeeehhhhhhhh 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸💃!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walokole wanalo hili, weuweeeeeeeeeeh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Walokole wenyewe hawa wa siku hizi; mnawajua mnawasikia? Labda wale extremistsKanisa lake lipo sehemu gani? Namkubali sana huyo mama...
Akina mama wa kilokole aliwapa za uso. Staili zote mama chanua ulokole wako tupa kule kwa mumeo...
Nasikia wengine mpaka wanakatazwa staili zingine isipokuwa kifo cha mende tu. We ulisikia wapi? [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wawavalie bikini waume zao, mwanamke mwenye afya ya akili, anajua nn afanye wapi, bedroom sio mahali Pa kusifu na kuabudu, bedroom ni mahali Pa kushughurika, cheza michezo na style zote, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rose shaboka simuwezi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kanisa lake lipo sehemu gani? Namkubali sana huyo mama...
Akina mama wa kilokole aliwapa za uso. Staili zote mama chanua ulokole wako tupa kule kwa mumeo...
Nasikia wengine mpaka wanakatazwa staili zingine isipokuwa kifo cha mende tu. We ulisikia wapi? [emoji15]
Mshindweeee... ma mtumishi nahuo mwili ulivo potabo afu anaonekana mwepesi sasa waauweeeeehhhhhhhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji126]!!
Unanyonya kwani? Kama najiona dada, siku ya utambulisho tu (sio hata mahari) natokelezea kama hiviView attachment 2148451
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndyoooooooh mama maleziiiii ndani ya [emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448], weuweeeeeeeeeeeh, umetisha sanaaaaaah.Unanyonya kwani? Kama najiona dada, siku ya utambulisho tu (sio hata mahari) natokelezea kama hiviView attachment 2148451
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kweli kishundu cha kinyaki😍🥰Unanyonya kwani? Kama najiona dada, siku ya utambulisho tu (sio hata mahari) natokelezea kama hiviView attachment 2148451
Sent using Jamii Forums mobile app