Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huyo siwezi kumuongelea hivyo,ni mtoto wa dada yangu kabisa. Kuna muda na mimi najikuta navizia picha zake humu ezi ifu sio mwanangu... Jf shwaini kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
Picha zake zinahitaji timing kali ajabu. Mi nilishabahatishaga moja tu na nimeilamineti na kuikuza ipo hapa sebuleni Misungwi. Kama una nyingine huko nikumbuke na mie shemeji! [emoji16][emoji16]
 
Kwema kabisa Anko, sijui nyie huko. Nimekumbuka aunt alivyotishia kufunika ungo akukomeshe na kigugumuzi chako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ule ujinga sikuurudia tena,miaka kumi na...imepita sasa.
Namshukuru Mungu amenipa rafiki wa kisukuma.
Tupo vizuri wote mamaangu
 
IMG_20220312_172209.jpg
 
One of the best power couples I know. Yaani kuoa au kuolewa na Msukuma ni mibaraka tosha mwanzo mwisho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kama vile kuoa/kuolewa na mnyaki. Si unamuona Anko wangu katulia tuli? Karibu sana Uyole Mtumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom