Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anko wako haongelei filimbi filimbi Mama Mchungaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huyo siwezi kumuongelea hivyo,ni mtoto wa dada yangu kabisa. Kuna muda na mimi najikuta navizia picha zake humu ezi ifu sio mwanangu... Jf shwaini kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kashai ya Bukoba au Kashai ya wapi?
Kashai ya Bukoba eeh!? Wanafunzi wa Ihungo tulikuwa tunashuka huko kubangaiza totozi enzi zileeeeee! Kulikuwa na Yutong moja fundi cherehani hapo Kashai mweh! Tukilipwa tu vihela vya usafiri twote tunaipelekea...but we survived! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom