Nimeshaona vimbaumbau zaidi yako vinakuwa Yutongs. Yaani ukipata mimba ikakukubali ukaYutongika halafu ukijifungua unakuwa mzembe kurudi ulivyokuwa ndo imetoka hiyo. Ila endelea kubalansi msosi chifu. Hiyo ndiyo siri kubwa ya kubakia kimbaumbau. Huoni vimisosi vya
Lizzy. Ukiweza kumenteini ulaji wa hivyo na vimazoezi vya hapa na pale, utaendelea kuwa kimodo tu mpaka unapata vilembwe...