Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,370
Unabisha?[emoji23][emoji23][emoji23]Na Mimi nakusaidia kukataa
Ooh wengine hawakuwaonaSikufikiria hata kama nitaulizwa maana juzi niliweka picha yangu nikiwa na huyo dada.
Labda ningeona skunaUnabisha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Napiga zoezi baada ya kushibaView attachment 2147285
NdiyoOoh wengine hawakuwaona
Utatapika mdogo wangu pumzika kwanzaUnabisha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Napiga zoezi baada ya kushibaView attachment 2147285
Umenikariri eeeh?Labda ningeona skuna
Abee dadaUmenikariri eeeh?
Nimeachana nazo,navaa vile vingine nilivyoagizwa nitafute[emoji6]
Unadhani ni mimi basi[emoji23]!Utatapika mdogo wangu pumzika kwanza
SijakuitaAbee dada
πππππHapo unajiona umekuuuuula kumbe hakuna kitu dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani nimekuja na mbio za kufa mtu hadi nimejikwaa najua mama mchungaji kaselfika πππDaah Lamata anaupiga mwingi. Mama G in the building..View attachment 2147296
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ikipanda bus mpaka ifike huko Shule ya Msingi nini sijui, itakuwa ishageuka mvinyo πMkuu sijapata juice wiki sasa πππ
Hehehehehe haya nyanyuka ujikung'ute mavumbi πππYaani nimekuja na mbio za kufa mtu hadi nimejikwaa najua mama mchungaji kaselfika πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sorry babuuuh, sirudii tena.Aaamen mjukuu [emoji1545][emoji1545][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.Namie msinisahau mvinyo!!
mvinyo nao ni juice, sema tu ni juics iliyo changamka π πTatizo ikipanda bus mpaka ifike huko Shule ya Msingi nini sijui, itakuwa ishageuka mvinyo π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mitaa ya mnada wa ng'ombe