Selfika na JF: Snap it. Show it

Kesho nikienda lunch mahali nitakuonyesha ka best mocktail ever..

Jua likiwa kali sana sitoenda, maana uwa navurugika sana ubongo nikitembea juani

Ooh I'm excited already , nione hiyo mocktail ..

Jua huwa linaharibu mambo kabisa sasa bora mikoani usafiri si mgumu , huku unaweza ukaghairi kwenda kabisa .
 
Siku moja bila Mungu bila uwepo wa Mungu
Ni sawa na miaka elfu jangwani
Siku moja bila Mungu bila uwepo wa Mungu
Ni sawa na miaka mingi jangwani
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha

Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Siwezi siwezi
Bila wewe, siwezi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh I'm excited already , nione hiyo mocktail ..

Jua huwa linaharibu mambo kabisa sasa bora mikoani usafiri si mgumu , huku unaweza ukaghairi kwenda kabisa .
Naipenda ya curaΓ§ao πŸ€—

Hapo kwa lunch ni kwa kutembea, sasa na siku hizi jua linavyowaka inakuwa kipengele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…