Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi mnawezaje kunywa vitu vichungu? Au mnatia sukari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha kwa joto! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🥱🥱🥱🥱🤣🤣 !! hahahaaa....
 
Au hukushiba wewe 🤣🤣
Ila sishangai maana hata mimi savanna kama sijashiba lazima initoe nishai

Zanzi je 🤗
Nzuri sio chungu
 
Au hukushiba wewe [emoji1787][emoji1787]
Ila sishangai maana hata mimi savanna kama sijashiba lazima initoe nishai

Zanzi je [emoji847]
Nzuri sio chungu

Nilikula mbona tuchipsi hivi
Au haiendani na vyakula vyepesi eeh ?
Ehh unajua vinywaji dada ..
Hiyo siifahamu kabisa .
 
Eeh mimi siwezi vitu vichungu ..
Nadilute na maji weh mpaka maji yaishe hapo naona imetosha ila sidhani kama nitatumia tena .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh mie ndo nilinyimwa kabisaa appetite ya vinywaji vya viwandani, mie buzzy na ulanzi woiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Au basi mkemia!! [emoji2365][emoji2365][emoji2365][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…