Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngombe ni multipurpose mkuu , kwetu ni usafiri na ni nyama piaπŸ˜‚
Nendeni kwa matajiri wetu wa Kanda ya Ziwa wawakopeshe Pick-up πŸ›» muanze kutumia kwa usafiri badala ya kuwatesa Ng'ombe πŸ˜‚

Shimba Ya Buyenze fanya mpango uwakopeshe πŸ›» hawa Wanyaki waache kututesea mifugo yetu
 
Si ajabu kangekuwa domo zege


Ila ukweli usemwe. Boss Lady ni kati ya wale wanawake wachache ambao hata akivaa gunia otomatikale anatokelezea tu. Na hapo eti ni mama wawili!
.
Ni kweli Mkuu,

Me mwenyewe isingekuwa Uzee haki ya nani ningejitosa, Binti MashaAllah yule πŸ™ŠπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hahahaha...
camera tu mkuu!! Ukimuona utajificha mbona! 🀣😜😜
Camera yako πŸ“Έ pamoja na Miwani yangu haiwezekani vikanidanganya Kwa pamoja.

Huwezi amini young lady, nimezoom hiyo picha kwa kutumia Miwani yangu ya kuona mbali nimehakikisha pasi na shaka, you are onπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…