Afadhali, haiwezekani hawa Matraffic wanidai na Leseni ya udereva Kwa kuendesha mkokoteni wa Ng'ombe wangu ππ
Usilete tu mambo ya Liverpooluna vituko
Kabisa..hata namba ataeweka hapa atashuhudia mwenyewe!! Sinaga longo longo kabisa mie!Aziweke hapahapa,raha ya vocha kugombania..
Boss ledii Hana ubaguziπ₯π₯π₯π₯π₯
Ndiyo maana nasema mimi Amebarikiwa
Hawa opera min hawakujui eeeh??Opera mi imenigomea tangu asubuhi
Japo hajakufikia kabisaYaliyomo yamo!! Anaonekana mzuri sana!!!
Boss ledi mwenye roho nzuri hata mbinguni mna seat zenu special kabisa pale mbele.Anne leo una nini lakini!!!!!
Usijali, kama Kuna Western Union hapo kwako utapokea ujumbe hivi karibuni ππππHapo sasa weuweeeeeeeeeeeh, babuuuh afu nasubir zawadi ya siku ya jana. Uwiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Woyoooooooooooo!!!Kabisa..hata namba ataeweka hapa atashuhudia mwenyewe!! Sinaga longo longo kabisa mie!
Akuujuuuh fanya namna ingne, sina western union mie lol, sitaki janja janja eti.Usijali, kama Kuna Western Union hapo kwako utapokea ujumbe hivi karibuni
Haha wengine tunatumia punda mkuu ni dhambi sana kutumia hiyo mboga kubebea mizigo basi tuView attachment 2144329
Naona traffic Police wamenisimamisha hapa, wanasema tairi za tela langu zimeisha
Karma , Heaven Sent , financial services , Saint Anne , Bujibuji Simba Nyanaume fanyeni mpango mnunue Pickups za kubebea mazao yenu shambani lakini sio Ng'ombe.
Kwetu kule Ng'ombe ni kwaajili ya kula nyama, maziwa na kuolea tu sio kubebea mizigo
Trey je? Sema huyu kapoa kama uji wa mtoto π€£π€£ ila mcute π₯°wee nisimjue Willow? Nawafuatilia yeye na Jaden kwa ukaribu mno, afu Jaden si kapata ajar week ilopita hadi kazushiwa kufa, kumbe uongo tyuuh.
Nawe macho yako hayo?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Woyoooooooooooo!!!
Jamani pigeni makofi tafadhali!!!
Huyu ndio boss ledi sasa msomi mwelewa,asiye na ubaguzi halafu pisi kali.
Mungu atupe Nini Selfika?
Kazi kwetuuu.
Hata Kristo alipokuwa akiingia Yerusalem alipanda punda mwana punda.Haha wengine tunatumia punda mkuu ni dhambi sana kutumia hiyo mboga kubebea mizigo basi tu
Bora hata Punda ila Ng'ombe naona wanamtesa sana.Haha wengine tunatumia punda mkuu ni dhambi sana kutumia hiyo mboga kubebea mizigo basi tu
Ngoja baadaye aje Pep tukamilishe kuimba hizi sifa za boss ledii japo Kwa kiasi kidogo maana hatuwezi kuzimaliza kwa jinsi zilivyo nyingi.hahahaaa.. aliki za Anne anazijua mwenyewe!
Babu Leo amekamatwa.Akuujuuuh fanya namna ingne, sina western union mie lol, sitaki janja janja eti.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sifa zake hazina mfano.mie ndo nashindwa kumuelezea kabisaaa, nabaki kukaa kmya, maan sijui ntaanzia na kuishia wapi, vipi shouzzzzzz mie nadanganya? mahondaw
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app