Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hadi kufikia kuzeeka pamoja na Bibi yako, imesaidia sana Mimi kumsifia.

Kuna wakati unakuta amezidisha chumvi kidogo, unajua hapa huenda amepitiwa ninachofanya ni kumsifia kuwa chakula Cha Leo ni kitamu sana.

Ukitoka hapo mnaenda kukumbushia Ujana 🙈🏃🏃🏃🏃
 
Weuweeeeeeeeh basi sisi wajukuu zako tunasema "babuuu anaupiga mwingi mnooo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mpaka unamjua it means??!!! Jibu baki nalo

Muone masikio 🤣🤣
 
Mpaka unamjua it means??!!! Jibu baki nalo

Muone masikio [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nisimjue Willow? Nawafuatilia yeye na Jaden kwa ukaribu mno, afu Jaden si kapata ajar week ilopita hadi kazushiwa kufa, [emoji24][emoji24][emoji24] kumbe uongo tyuuh.

Nawe macho yako hayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…