Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo nashindwa kumuelezea kabisaaa, nabaki kukaa kmya, maan sijui ntaanzia na kuishia wapi, vipi shouzzzzzz mie nadanganya? mahondaw

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nipo hapa nyuma yako na huyu mbuzi; nakuja kukuokoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya piganeni niwaone, mie nawazoom kwa mbali.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Yaani nafungua tu watsap kuna kaboya😂 kananipokea na hizo taarifa.

Yaani man u bwana ,wamefurahi utadhani walishinda wao Jana kumbe wamechakazwa juzi na kipigo kikali timu ishavurugika hakuna Cha cr7 sijui pogba
 
Sipunguzi

Afu ilo cartoon mbona baya [emoji14][emoji14]
Ipi hiyo? Ila huyo Willow ndo mzuri? Kiufupi umeishiwa avatar, omba msaada kwangu, acha ubishi wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kheeeeh cartoon wangu huyu ni mzureee, na ndo main avatar kwagu, nitaweka zote mwisho ni hii hapa. Weuweeeeeeeeeh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yaani nafungua tu watsap kuna kaboya[emoji23] kananipokea na hizo taarifa.

Yaani man u bwana ,wamefurahi utadhani walishinda wao Jana kumbe wamechakazwa juzi na kipigo kikali timu ishavurugika hakuna Cha cr7 sijui pogba

View attachment 2144336
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
cocastic niache mwenzio uwiiiii![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥱🥱🥱🥱 sina mbavu hukuu khakhaaaaaa!!!! Nacheka mpaka wananishangaa hap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndyoo bhana. Headmistress afu huniambii kwann? Je km nilkua mwanafunzi wako? Hahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…