Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Kabisaa kiongozi.Naam mkuu! Kila mtu anayepita maishani mwetu ana kazi yake. Ukilitambua hili hutamng'ang'ania mtu abakie maishani mwako ilhali pengine kazi aliyotumwa kuitimiza keshaimaliza. Yote ni kumshukuru Mungu tu na kusonga mbele.
Nguruwepori hoyeee !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
KupatwaWanaume leo tumeitwa nguruwepori - jina baya kabisa yaani dah! Wanaume tunakwama wapi?
Njooni tukae kikao tujadili hili suala aisee maana siyo poa! [emoji16][emoji16][emoji16]
Weeeehhh!!!acha kabisaa sema nikiacha mmeacha sirudiii ng'oooo!!nikimtaka hata sasa hivi anarudi sema![emoji38][emoji38] usikute hata hawazi kama alikuwa na mtu...
Tupunguze hasira...maisha ndo haya haya...[emoji16][emoji16]
Leo ni siku yao...Kupatwa
Kwa siku ya wanawake [emoji1787][emoji1787]
Wacha watoe ya moyoni
[emoji38][emoji38] kama kule ulikotoka kuzuri bora urudi...Weeeehhh!!!acha kabisaa sema nikiacha mmeacha sirudiii ng'oooo!!nikimtaka hata sasa hivi anarudi sema!
Too late to catch the train!!!
Afu si unajua tunanonegesha kijiwee[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Endelea kuteremsha vocha tuendelee kutiririka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kupatwa
Kwa siku ya wanawake [emoji1787][emoji1787]
Wacha watoe ya moyoni
Hakuna kurudi Kwa manguruwe ya poriWeeeehhh!!!acha kabisaa sema nikiacha mmeacha sirudiii ng'oooo!!nikimtaka hata sasa hivi anarudi sema!
Too late to catch the train!!!
Afu si unajua tunanonegesha kijiwee[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sio wote yulee tuu!![emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wengine wazuri Sanaaa!Wanaume leo tumeitwa nguruwepori - jina baya kabisa na lenye kudhalilisha sana dah! Wanaume tunakwama wapi?
Njooni tukae kikao tujadili hili suala aisee maana siyo poa! [emoji16][emoji16][emoji16]
Watafurahi[emoji1787]Leo ni siku yao...
Endelea kushusha vocha namhala!
Ahsante dogoo!maji yakimwagika hayazoeleki!Hakuna kurudi Kwa manguruwe ya pori
Songa mbele kama injili ya Paulo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee!mla mla Leo!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38] kama kule ulikotoka kuzuri bora urudi...
Sawa nimekusoma , story za vijiwe [emoji38][emoji38]
KabisaAhsante dogoo!maji yakimwagika hayazoeleki!
Kwangu never on earth!imeishaa hyoooo
Uzee dhahabuu!uko vzr kwenye ushauriNaam mkuu! Kila mtu anayepita maishani mwetu ana kazi yake. Ukilitambua hili hutamng'ang'ania mtu abakie maishani mwako ilhali pengine kazi aliyotumwa kuitimiza keshaimaliza. Yote ni kumshukuru Mungu tu na kusonga mbele.
"Nguruwepori" hoyeee !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Umemaliza kabisaaa!!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]ukija Dom wandai kuku wa Tango barYah ni kweli mkuu
Sometimes mtu anapita sehemu ili kuandaliwa kupokea yaliyo mema.
Wengi huwa hawajui,,,kumbe Mungu anaandaa mtu aweze kuwa bora kabla hajapokea kilicho bora,maana ukipokea kilicho bora mapema kabla hujajiandaa nankugundua kuwa ni bora pengine usingekithamini kama unavyokithamini ulipopokea Kwa wakati sahihi.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]daahh![emoji39][emoji39]View attachment 2143419
Na huyuKabisa
Imeisha Kwa mbili hiyo,,bila Baki
Guruwe lolote lipambane na hali yake huko duniani kwenye makurubembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yakuache kabisa dada mzuri aisee.
Ameen!tunawapenda wewe sio nguruwe pori!![emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]
Woooooyoooo[emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Umemaliza kabisaaa!!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]ukija Dom wandai kuku wa Tango bar
We jishaue tuuu!!ntakumezaa[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]Woooooyoooo[emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Wiki ijayo tu nakuja
Yaani safari hii nisipokutafuta basi ning'oe hata ukucha[emoji23]