Jaman mama cocastic atakuja kuniua pressure km sio sonona, eti nikipata GPA ya kuanzia 4.3 atanipa zawadi kubwaaa ambayo sijawahi kuipata wala kuijua. Hivi anadhan mchezo eti eeeeh, kwa ubongo gani nilionao sasa?
anipumzishe kwanza, ndo kwanza likizo imeanza rasmi kaamua kunipa stress woiiiiiiiiih. Akaaaah sitakiiiii.
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app