Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashine haitakatishi nguo. Hatupo Switzerland Wala Canada hapa ni 30Β°c . kola inachafuka vilivyo haiwezekani ikatakata kwa kuzungushwa tu.
😁😁😁😁 uzuri wengine toka utoto ni wachafu wachafu.. hata wakubwa wenzetu wameishatuzoe.. ila kama ukiwa smart alafu uwe rafu watu watazani dishi limeyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…