Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi sana si wengine asubuhi msosi ova wabeba vyuma.

Hiyo ilikua mlo wa Jana usiku. Mara nyingi usiku sipendi kupiga heavy weight. Ntasinzia au kuchoka wakati natakiwa nikae macho kufanya kazi.

Ila sio Kila siku. Inategemea na ratiba.
Kama hapa si unaona zagazaga nyingiiii

Heaven Sent atakuja kutoa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…