Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shouzzz khaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie sitaki nipo hapa nacheka naonekana chizi tyuuh lol.
 
Wewe njoo Moro afu uone kama utanipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaulizia wataalamu wa Nguzo Camp wanielekeze halafu nitaanzia operesheni yangu ya kukusaka nikiwa hapo. Nikifika huko Kingolwila, Cate Hotel, soko la karibu na mzumbe na hilo la Kingalu na nyumba kadhaa za ibada mbona ntakudabua MamaMchungaji? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Teh ukinipata nitakupa hela
 
Penda kupuyanga kwa miguu kama mama malezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna maeneo yangu napuyanga kwa miguu mie, hasa nyumbani nikitoka asubuh tukutane jioni, ni mizururo com, mie ujanja wangu ni home, ugenini hapana, afu soon ntakua hapo moro town kwa siku 3 then nasepa home huko bondeni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu sana, utanikuta Msamvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…