Mi sina jipya Boss Lady. Na uzee huu wa miaka 76 hata nikiselfika hakuna lo lote la maana. Nipo hapa najisomea huku nikiangalia neema za Allah zikiogelea...Muumba fundi sana yaani!
Kuna madaktari haki ya nani walienda medical school ili kupoteza muda tu. Harvard graduate mzima eti kanishupalia niache kula ugali. Nikamuuliza unataka nile nini? Ananiambia eti salad na matunda. Sema tu ni pisi kali vinginevyo hata kibao angeambulia. Msukuma orijino tena wa Ntuzu kabisa niwe nakula majani kama sungura? Kwani nataka kuishi milele? Nevaaaa !!!

Kuna mzungu hapa ana umbo la Kinyaki. Yaani ana shundu la uhakika. Kanifuma namwangalia akaishia kutabasamu tu. Ngoja nione itakavyokuwa. Nitaleta mrejesho