Napita hapa kuwajulia hali wadauTupooooo
Napita hapa kuwajulia hali wadauTupooooo
😃😃😃 nitaua mtu nianze kusumbuana na polisi maana kwanza wakisikiaga wanakuja nishika wanaogopaUpite kule walipokuibia juzi kati ukapigane
Tupo salama kabisa, sijui weweNapita hapa kuwajulia hali wadau
C.c Karma😃😃😃 nitaua mtu nianze kusumbuana na polisi maana kwanza wakisikiaga wanakuja nishika wanaogopa
Nani kakutia moyo hivyo?😎😎😎😎😎 weeeeee kimbau mbau mwenzangu
Huyo itakuwa mmoja ya wanafunzi wangu.. nimefundisha sana askari jeshi (jw) hadi sasa hivi nawapiga sana pindi
Niko salama pia mama mtumishiTupo salama kabisa, sijui wewe
Ngoja nikaite, maana kalalamishi sanaNiko salama pia mama mtumishi
Muite Saint Anne chap asije akanilaumu tena kuwa namhujumu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo itakuwa mmoja ya wanafunzi wangu.. nimefundisha sana askari jeshi (jw) hadi sasa hivi nawapiga sana pindi
Asinilaumu napita hapa naked🙈
HeheheheheAsinilaumu napita hapa naked![]()
Nimepita mara 3 bila emoj uko Hapa hapa mama mchungaji usinitanieHehehehehe
Nimekuona mara 2 bana na mask yakoNimepita mara 3 bila emoj uko Hapa hapa mama mchungaji usinitanie
Naked😅😅Nimekuona mara 2 bana na mask yako
HakunaaaaaaNaked![]()
Bila emoj mama mtumishi live bila chengaHakunaaaaaa