Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Alikuwa anasemaje tena [emoji2][emoji2]Hivi uliona comments za jana za komandoo? Nyie komandoo ana mbwembwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anasemaje tena [emoji2][emoji2]Hivi uliona comments za jana za komandoo? Nyie komandoo ana mbwembwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma anzia hapa, ushuke chini kidogoMimi huyu.. nilishachakaza kundi la askari zaidi ya kumi.. ukifika pale ulizia wote wananijua
😃😃😃😃😃... ebu sogea tuone mimi na wewe nani toli 😎😎Tunalingana urefu ujue baunsa
😎😎😎 siku hizi na mkono mwepesi sanaaa.. hapa ungekuwa karibu ungekuwa unalia tayari 😃😃😃Karma anzia hapa, ushuke chini kidogo
Ngoja nivue na heels 👠 kabisa😃😃😃😃😃... ebu sogea tuone mimi na wewe nani toli 😎😎
Jamani jamani 🤣🤣😎😎😎 siku hizi na mkono mwepesi sanaaa.. hapa ungekuwa karibu ungekuwa unalia tayari 😃😃😃
😃😃😃😃😃.. ili unikaribie kwenye kidevuNgoja nivue na heels 👠 kabisa
Eeeh! na siku nyingi sana sijapiga watuJamani jamani 🤣🤣
Ili uone navyokupita, maana utasingizia heels😃😃😃😃😃.. ili unikaribie kwenye kidevu
ShindwaaaEeeh! na siku nyingi sana sijapiga watu
TupoooooWajumbe mpooooo?
mie nitakuwa peke kabisaaa.. ila mie na wewe. nani mnene kwanza 🤣🤣🤣Ili uone navyokupita, maana utasingizia heels
Mikono imawasha washa 😁😁😁 kumzabua mtuShindwaaa
Daah kimbaumbau una matatizo sanamie nitakuwa peke kabisaaa.. ila mie na wewe. nani mnene kwanza 🤣🤣🤣
Upite kule walipokuibia juzi kati ukapiganeMikono imawasha washa 😁😁😁 kumzabua mtu
[emoji1787]Upite kule walipokuibia juzi kati ukapigane
😎😎😎😎😎 weeeeee kimbau mbau mwenzanguDaah kimbaumbau una matatizo sana