andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,030
- 120,505
Yaani bado naamini bado upo katoto kama vilee...Daah Anko kitambo sana. Nitafanya namna
Yaani bado naamini bado upo katoto kama vilee...Daah Anko kitambo sana. Nitafanya namna
Usisahau kuni pm na mimi nkamu pleaseHiyo ntam-pm Anko![]()
Nimezeeka now Anko. Miaka 5+ ishakataYaani bado naamini bado upo katoto kama vilee...
Anatelezea kwakoMkuu naona unachochea![]()
Hakika natumia fursa ya uncle vizurii😅😅Anatelezea kwako
Asante Mungu hukwenda kupigana maana hiyo miguu ingekuwa ishavunjwaMnanisema sema eeeh... nitawanigaaa.. na kadogo kako Saint Anne ... nilikuwa nabebika na watoto.. View attachment 2128451😎😎😎
Hajui kuwa naweza kuahirisha halafu nikaifuata nyumbani kwa mguuAnatelezea kwako



Muhimu ni vile nakuona Mungu amekuimarisha.Nimezeeka now Anko. Miaka 5+ ishakata

Kabisa Anko. Karibu sanaHajui kuwa naweza kuahirisha halafu nikaifuata nyumbani kwa mguu![]()
Huyo kaja sasa Heaven Sent kazi unayo leo😅😅😅Mlionihujumu mtanitambua
Amen Anko🙏🙏🙏🙏🙏Muhimu ni vile nakuona Mungu amekuimarisha.
Mungu ni mwema![]()
AsiyekuwepoooooHuyo kaja sasa Heaven Sent kazi unayo leo😅😅😅
Mimi huyu.. nilishachakaza kundi la askari zaidi ya kumi.. ukifika pale ulizia wote wananijuaAsante Mungu hukwenda kupigana maana hiyo miguu ingekuwa ishavunjwa
Asiyekuwepooooo
HakunaaaMuonee huruma nkamu
Nyie nyieMimi huyu.. nilishachakaza kundi la askari zaidi ya kumi.. ukifika pale ulizia wote wananijua
Ndugu yangu Saint Anne nimejitahidi kukupigania lakini nimeshindwaa🙌🙌Hakunaaa