Ukiwa macho na WTI pamoja na Gold... kuna kujaza rumbesa 😀😀😀 niliwekwa chini ya ulinzi na mwarabu ja gold ila nimefanya add more alafu nafanya kama sioni hadi next weeek
safi sana mkuu, umetisha sana, mimi hata nikikusanya 5usd kwa siku sio mbaya😂, nawaza kama wale wakulungwa wa the richest man in babylon😂. kutunisha mfuko.
safi sana mkuu, umetisha sana, mimi hata nikikusanya 5usd kwa siku sio mbaya😂, nawaza kama wale wakulungwa wa the richest man in babylon😂. kutunisha mfuko.
Nakuza hiyo account, hii naangalia mwendo wake.. usiku nikishapata picha kamili ya hii nafungua bomba paka mwisho.. hii ni account ua challenge form $2,000 to $20,000