Kuna mtu kesho anakuja Bariadi-Simiyu naomba nikuunganishe nae(sijui kwa njia ipi sahihi na salama kwako)ili umpe hizo senene akupe hela yako keshi kabisa mkononi.
Mkuu wewe unadhani hata week itaisha walivyowatamu na wanavotamanisha kula, hautoamini😂😂 wanakaa muda mrefu sana hadi 4 weeks as ni wakavu so kuharibika si rahisi