Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Nakumbuka 2018 nilipata ugeni wa jirani mmoja saa tisa za usiku.. anaogopa kulala peke yake πππππ.. kaingia ndani na taulo keupeeee.. kha! nikamuambi poa karibu upumzike asubuhi urudi kwako, anaanza kukagua ndani kama kuna mtu anaogopa kufamaniwa.. picha likaisha ikawa the end ππππJiraniiii....!πππ
Tuanze hili zoezi rasmi mwezi wa tatu...!
Nnavyopenda kutembeleana mie, usije ukanichoka tuu π .
πππ kama unajua, unajua tuExtra Virgin.....
Jiraniii....ππ
Nakusoma.
Huwa panawaka sanaa πππππ
Utafaidi sana maana wageni waingiapo huleta baraka ndani.. so lazima mgeni afurahishweee πππ
Nakumbuka 2018 nilipata ugeni wa jirani mmoja saa tisa za usiku.. anaogopa kulala peke yake πππππ.. kaingia ndani na taulo keupeeee.. kha! nikamuambi poa karibu upumzike asubuhi urudi kwako, anaanza kukagua ndani kama kuna mtu anaogopa kufamaniwa.. picha likaisha ikawa the end ππππ
ππππ watu wakisoma hii comment wataanza ku pa google.. sio kwa introduction ya huo ukarimu wa kinyamwezi.. kuna wageni wakorofi watataka kuhamia kabisa..Aiseee huo mwezi wa tatu ufike haraka...ππ
Like wise ukiwa mgeni wa Kasinde jiandae kula mapochopocho na madikodiko. Sharti langu tuu napenda mgeni afike ndo nianze kupika, wakati napika unakarimiwa na aidha karanga au korosho na wine π·π.
Kikiiva unakula chamotooo kinaenda kupolea tumboni π .
πππ kama unajua, unajua tu
ππππ haaa niliogopa kwanza.. mgeni na kitaulo tupu ndani hajavaa kitu alafu mgeni alikuwa na maswali ya kiwaki hujao, mala unanidanganya mkeo kaenda wapi.. nikajisemea huu utawala wa Magu asije kuwa spy maana nilakaa pale karibia mwaka mzima alafu nilikuwa sitokagi kila kitu nilikuwa naletewa na kudumiwa..Huyo jirani yako ni shujaa...!!!ππ
Sasa picha liliishaje kirahisi rahisi hivyo jirani???π π
ππππ watu wakisoma hii comment wataanza ku pa google.. sio kwa introduction ya huo ukarimu wa kinyamwezi.. kuna wageni wakorofi watataka kuhamia kabisa..
πππ raha sana yakipigwa na mixer manukato ohoooo.. pembeni asali, na karanga au kanazi.. na vi strawberry unatafuna tuInabaki hivyo, kuweka codes hadharani unajikuta unaibiwa/unakwapuliwa huku unajiona π.
ππππ haaa niliogopa kwanza.. mgeni na kitaulo tupu ndani hajavaa kitu alafu mgeni alikuwa na maswali ya kiwaki hujao, mala unanidanganya mkeo kaenda wapi.. nikajisemea huu utawala wa Magu asije kuwa spy maana nilakaa pale karibia mwaka mzima alafu nilikuwa sitokagi kila kitu nilikuwa naletewa na kudumiwa..
ππππ karanga za izimbili au tutuo... au goweko kwenye asali nyingi nyingi mixer mihogo na karanga.. mihogo mitamuuu na asali yake pureee πππ lazima virutibisho vinakuwa virutunisho kweli joto lake mtoto anaunguaAahahahahahaa Kasinde huwa haaliki tuu mgeni yeyote....
Huwa kuna namna mgeni akakirimiwa karanga za Tabora zilizookwa kwa moto hafifuu... siku ukikutana na korosho basi karanga zakuwa zimeisha.
ππππ Jirani unajikuta unauza ramani.. japo alilala hadi asubuhi bila shari yoyote ile.. mwenye kufamau na afahamu ππHapo nimekuelewa jirani.
Tuko wing moja ππ.
πππ raha sana yakipigwa na mixer manukato ohoooo.. pembeni asali, na karanga au kanazi.. na vi strawberry unatafuna tu
ππππ karanga za izimbili au tutuo... au goweko kwenye asali nyingi nyingi mixer mihogo na karanga.. mihogo mitamuuu na asali yake pureee πππ lazima virutibisho vinakuwa virutunisho kweli joto lake mtoto anaungua