KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,760
- 86,416
Hata Kama bando ni lako ndo muweke picha ya uji...????Mbona wewe huweki zako?
Picha yangu, bundle langu na simu ni yangu..
Nikifuta unakwazika!huh
Hebu kua serious chief(natania tu)
Hata Kama bando ni lako ndo muweke picha ya uji...????Mbona wewe huweki zako?
Picha yangu, bundle langu na simu ni yangu..
Nikifuta unakwazika!huh
Hebu kua serious chief(natania tu)
Hbd big man
Unatoboa ozonNakaaa kula tu mishkaki yani na kuchora pisi ina dai pesa yake ya bear inasema pombe sio kali saa 04:53 mzee mwenzangu Offshore Seamen mida yetu wawindaji haramu
Wigelekelo View attachment 2123511

acha weee nimerudi room saa moja asubuhi.. kama barmaid vile 😃😃😃😃 sema leo imekuwa chungu kweli muuza mshikaki alinidhulumu jero tumewashiana kidogo nimchape mikono.. 😃😃😃.. nimekaa pale kumbe wadada wezi wameniibiaje sijui hela kangu roho imeniuma hadi usingizi sijapata.. pale sirudi tenaUnatoboa ozon![]()
una hatari sana kuendesha gari una tawi la mkrisimasi sio poa.. labda kwa trip za town ila kama mtu wa masafa unaweza ita breakdown kutoka dar ije ikubebe
.. kuna jamaa alikuwa na Volkswagen ikaloga manyoni pale mbona gari ilipakiwa na gari kurudi dar es salaam
Yangu haijawahi piga route ndefu, Route ndefu zaidi imewahi kupiga ni Kibaha pale Puma Fiiling station.
.hahahaha 'inauma sana'Ndiyo ilo hivyo. Mbaya zaidi unakuta aliyeweka picha anasifiwa sana, tahamaki unaitafuta picha unakuta ishafutwa. Inauma sana.
Ndiyo ilo hivyo. Mbaya zaidi unakuta aliyeweka picha anasifiwa sana, tahamaki unaitafuta picha unakuta ishafutwa. Inauma sana.


acha weee nimerudi room saa moja asubuhi.. kama barmaid vilesema leo imekuwa chungu kweli muuza mshikaki alinidhulumu jero tumewashiana kidogo nimchape mikono..
.. nimekaa pale kumbe wadada wezi wameniibiaje sijui hela kangu roho imeniuma hadi usingizi sijapata.. pale sirudi tena





Pole mkuu.imeniuma sana leo rohoo.. mie huyu wa kupigwa.. imenikumbusha 2009 ndio nilipigwa tena Bilcanas, na matoto ya kinondoni walikomba mpunga wote mbona nilala njaaa asee siku hiyoPole mkuu.
kuna watoto-vijana-wanaume-wazee ( elders) .. fanya mpango uongeze rank uwe elders uachane na habari ya mateso 😃😃😃Wanaume tumeumbwa matesooo....
hiyo chuma ya mzungu.. sijawai pata Christmas tree hata siku moja.. cha ajabu kwenye Crown yangu ndio kulikuwa na tawi la Christmas
ila kwa mzungu hakujawai kuwa hata na nukta zaidi ya siku moja nilipasua sump ndio ikaniwashia oil level down.. sasa hivi huwa natumia jaguar mala moja moja.. sijakutana na mti wa christmas.. haya magari matunzo mkuu ulaya ni ulaya mzee




imeniuma sana leo rohoo.. mie huyu wa kupigwa.. imenikumbusha 2009 ndio nilipigwa tena Bilcanas, na matoto ya kinondoni walikomba mpunga wote mbona nilala njaaa asee siku hiyo
, siku nyingine ficha zingine location, au kila mfuko weka kidogo kidogo
.😃😃😃😃😃 sie wazee wa masafa.. lazima uhakikishe kitu imesimamaYangu haijawahi piga route ndefu, Route ndefu zaidi imewahi kupiga ni Kibaha pale Puma Fiiling station.
Lakini kila siku ni town hapa hapa. Ikiloga hamna shida.
😃😃😃😃 Mie myarwanda mkuu nilie hamia tanzania miaka hiyooHivi mkuu na wewe kwani ni Mhaya? Nogambaki?
(Wahaya ni watani zangu...)
Dah! inauma sana kupigwaaa mkuu, hiyo hela niliyopigwa ningetuma hata bush wangenunua mbuzi waka wakanibariki, siku nyingine ficha zingine location, au kila mfuko weka kidogo kidogo
.