mke umemuacha peke yake usiku.. 😎😎😎 wewe upo night shiftNite shiftView attachment 2123454


Thank you so much mkuuUwe na furaha ukikumbuka siku hii muhimu kwako mkuu
Happy Birthday donlucchese
Mkuu dashboard ipo clean hakuna hata mchristmas mmoja? 😎
Happiest birthday kwako
hiyo chuma ya mzungu 😃😃😃..Mkuu dashboard ipo clean hakuna hata mchristmas mmoja? 😎
Mguu huo 😋😋😋
Mbona wewe huweki zako?Shida humu mnaweka picha kisha mnafuta, mnatukwaza sana basi tu.
hahahaha ni bora wasiweke tu km wengine au unasemaje mwambaShida humu mnaweka picha kisha mnafuta, mnatukwaza sana basi tu.
anaona bora yy asiyeweka kuliko kumkwazaMbona wewe huweki zako?
Sijakuona location zako.. leo nimepigwa nyikani.. kumbe bado kuna wadada wezi.. wanatia huruma 😃😃😃😃anaona bora yy asiyeweka kuliko kumkwaza
hiyo chuma ya mzungu.. sijawai pata Christmas tree hata siku moja.. cha ajabu kwenye Crown yangu ndio kulikuwa na tawi la Christmas
ila kwa mzungu hakujawai kuwa hata na nukta zaidi ya siku moja nilipasua sump ndio ikaniwashia oil level down.. sasa hivi huwa natumia jaguar mala moja moja.. sijakutana na mti wa christmas.. haya magari matunzo mkuu ulaya ni ulaya mzee
, mara ya Mwisho nimeenda pale Noble Motors Wakanifyonza na bado mti unamea pale pale
Nimeamua kuishi nao tu.😃😃😃 una hatari sana kuendesha gari una tawi la mkrisimasi sio poa.. labda kwa trip za town ila kama mtu wa masafa unaweza ita breakdown kutoka dar ije ikubebe 😃😃😃.. kuna jamaa alikuwa na Volkswagen ikaloga manyoni pale mbona gari ilipakiwa na gari kurudi dar es salaamNoma sana mkuu, Mimi nina m christmas mmoja umenifyonza damu karibia yote, mara ya Mwisho nimeenda pale Noble Motors Wakanifyonza na bado mti unamea pale pale
Nimeamua kuishi nao tu.
Ndiyo hivyo. Mbaya zaidi unakuta aliyeweka picha anasifiwa sana, tahamaki unaitafuta picha unakuta ishafutwa. Inauma sana.hahahaha ni bora wasiweke tu km wengine au unasemaje mwamba