Peponi kama kawa tunaingia.. Hatari ya wake wengi ni ule muunganiko wa nafsi.. kama wakiwa na backgrounda mbaya ya miungu miovu, wanaweza hamisha moyo wako.. mwanamke ana nguvu.. hayo ndio majanga yalimkuta kijana Solomon.. Mke mmoja kazi inahitaji ujitoe ufahamu kweli