Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kuna maeneo hayafai sisi kutembea.
Hata tukienda unaona kabisa kjwa haya si maeneo yetu.[emoji23]
Hapana[emoji1787]simtishi
Namwambia ukweli[emoji1787]
[emoji1787]Awekwe chini ya uangalizi. Presha na sukari pamoja na mfumo wa upumuaji viangaliwe kwa ukaribu zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji849][emoji849]Huyo ana nafasi yake special huku moyoni.
Anaijua,hawezi pata presha.
Na msubiri kununiwa" kwerikweri"
Mtatamani mninyonge.
Ili
Iweje sasa
Asante MkuuVidole vya kike
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] AnkoTutatia aibu mdogo angu. Au labda tushindiloe kabisa huku home, then twende hizo sehemu nzuri kupiga picha tu
Ndicho nilichomwambia kaka[emoji1787]Tutatia aibu mdogo angu. Au labda tushindiloe kabisa huku home, then twende hizo sehemu nzuri kupiga picha tu
Kwamba hamjali?[emoji1787][emoji1787]As if we care
Msinitishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utapandishwa cheo oooh
Unashangaa nini Wige?[emoji849][emoji849]
Huku mkoani amani tupu, full paliziSema Mulangira. Kwema huko mkoani uliko? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Umefuraaaahi[emoji1787][emoji1787]
Sana [emoji1787]Umefuraaaahi[emoji1787]
Asante shemeji...Wapwa wapige kitabu vizuri japo sasa tunaaminishwa na akina Dr. Musukuma kuwa elimu haina maana tena [emoji15]Yaani hapo tu hawa shwaini ndipo nashwindwa kuwaelewa...
Kwani kale kaupenyo hakawezi kutumika?
Huku kwema kabisa,wapwa zako wote nimewatembelea jana na leo,kesho narudi kwa Kabula.
Mpe salaam binti yangu, Mungu azidi kumpambania.
Umefurahia nini sasa😄Sana [emoji1787]
Hivyo vifaa vya kufanyia mfumo mzima wa palizi vimetoka nchi gani? Labda Japan kwa sababu wako vizuri sana [emoji16]Huku mkoani amani tupu, full palizi