Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Punguza ufisi, utapatwa ya RC Makambakoinabidi tuhamie hapo hahaha.. na mie napenda sana wahubiri wazuri kuna kamoja kanaitwa..... haka napenda kakihubiri sikosi vipindi vyake nataka nikajitolee kuwa mfanya usafi kanisa kwaoView attachment 2120050
Acha bhas[emoji1787]Hahaaa sasa hata nikisema nishowoff nitashowoff nini wakati sina cha kushowoff [emoji23][emoji23]
😊😊😊 Umeona WTI ilivyo mwaga pesaaa kwanza...Punguza ufisi, utapatwa ya RC Makambako
Km illipostiwa kisha ikafutwa basi irudiweMmhh
Sijaweka picha rafikiKm illipostiwa kisha ikafutwa basi irudiwe
Weka sasa basi rafikiSijaweka picha rafiki
Siku nyingine rafikiWeka sasa basi rafiki
Aargghhh kuna muda sitakagi kabisa utani mimi. kama humu mtu akinikwaza nampa block tu naendelea na yangu sitaki tena kumuona kabisa!!![emoji45]Hahahaha.utaenda jela rafiki,unapotezea
Yaani tupeleke Tabata Segerea hii chuma? kua serious.😊😊😊 shemeji yako anakupa hii.. vipi jumamosi tukamcheki basi
😀😀😀😀... Basi tumkatae apambane na hali yake mie sikumtuma afanye alichofanya.. kuna chimbo jipya inafaaa hii chuma tuipeleke..Yaani tupeleke Tabata Segerea hii chuma? kua serious.
View attachment 2120180
Yeah siku moja moja mkuu [emoji16][emoji16]Naona mkuu unapiga vitu laini
Yale hayaachiki dada [emoji125][emoji125]Umeacha yale mambo?
Leo nimebadilisha kidogo [emoji3][emoji3]Unapooza Koo Leo hupigi bia yetu pendwa BALIMI
Unashiba?Lunch time[emoji41]View attachment 2120124
😳Yale hayaachiki dada [emoji125][emoji125]
Vizuri kabisaUnashiba?
Yeah unapumzisha maini na figo😀Yeah siku moja moja mkuu [emoji16][emoji16]
Asante wanaume wa daslamaVizuri kabisa