Mmhh
I had blue one those time π
unaweka na visoda vya kuhesabia.. fagio.. hiyo mifuko ilikuwa inapata sana shida πππI had blue one those time π
Asante mkuukaribu sana mkuuu..
Full kuchanika, unanunua mwingine chapchap. Ikiwa na daftari chache inapea balaaa πππunaweka na visoda vya kuhesabia.. fagio.. hiyo mifuko ilikuwa inapata sana shida πππ
kipindi hicho ukiwa na begi.. unaonekana wa kishua.. na soksi za pundamilia na viatu vyako safi plus kiwi.. wengine hadi tunaenda na malapa yameshikizwa na kamba.. hakuna kukaaa paredi kwenye ukaguzi ππππ au unajificha kwa wapiga bend maana wao hawakaguliwaFull kuchanika, unanunua mwingine chapchap. Ikiwa na daftari chache inapea balaaa πππ
ππππ Mwanza inapendeza sanaaIringa>dar>arusha> mwanzaView attachment 2119973View attachment 2119974
hahahahaha,namuona yuko busy ,haezi kuniona
ila anakupenda sana, sema anakuonea aibu ππhahahahaha,namuona yuko busy ,haezi kuniona
[emoji28][emoji28]mshenga pro maxila anakupenda sana, sema anakuonea aibu [emoji4][emoji4]
hahahahaha.sio kweli mjombaila anakupenda sana, sema anakuonea aibu ππ
ila anakupenda sana, sema anakuonea aibu [emoji4][emoji4]
vipi kwani nadanganya ππ[emoji44][emoji44]
kafa kaoza uncle πππhahahahaha.sio kweli mjomba
πππ anamuonea aibu kwaiyo yake ya moyoni kanifikishia na mie nayafikishe bila ajizi[emoji28][emoji28]mshenga pro max
[emoji28][emoji28][emoji28] dah watu Wana zali mzee mbona sisi hatupati hayo Mambo au kwakua wazeee[emoji3][emoji3][emoji3] anamuonea aibu kwaiyo yake ya moyoni kanifikishia na mie nayafikishe bila ajizi
ππππ kwani Depal hajawai kukucheki inbox.. anakuelewa sana nilijua mpo mashariki ya mbali kwenye safari yenu[emoji28][emoji28][emoji28] dah watu Wana zali mzee mbona sisi hatupati hayo Mambo au kwakua wazeee
πππ mnabahati sana, kiumbe kama Depal hakuna asie taka kuwa nachoo.. cheki ka sura kale ( innocent sura) tume shavu tule.. dah nawatamania.. mie tu humu ndio nagalagazwaaa ππ[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] dah nimecheka Sana umehamia kwangu mshenga