Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
hili nakuachia ww mjomba akehawezi kukataa Tinsley ebu njoo tuyamalize kifamilia
hili nakuachia ww mjomba akehawezi kukataa Tinsley ebu njoo tuyamalize kifamilia
Hebu niulizie ulizie huko kwa mashostHahahaha sema tu labda kuna mtu anakucrush humu hujui .


NaniT
Tangu lini nikawa na sauti nyororo??
Inamkwarua nanihii masikioni.


Kweli rafikihuyo mtu aache uoga
Hahahaha.. tulia hapo weka kambi.. utakuwa na record siku ya valentine
Ooh vyema rafikihahahaha.mimi cjaoa ndio nipo ktk kuchagua
Hapana huwezi kuambulia patupu hivyoHebu niulizie ulizie huko kwa mashost
Maana hapa chini ya mti hapa ntaambulia uchafu wa kunguru tuu..
Na valentine yenyewe ndo hii, akina Heaven Sent wanatupeleka puta na mashairi yao
umepata mchumba hapo mtu chake tulia hapo sasa mdogo wanguOoh vyema rafiki
huyo naona dalili hanitaki.hahahaumepata mchumba hapo mtu chake tulia hapo sasa mdogo wangu
hahahaha mjomba.sisi wapiga kelele ngumu kuopoa totoz,umepata mchumba hapo mtu chake tulia hapo sasa mdogo wangu
Tinsley kakuelewa vibaya sanaaa, naona nae atakutunza hadi ubabuni 😀😀hahahaha mjomba.sisi wapiga kelele ngumu kuopoa totoz,
hahahahahaTinsley kakuelewa vibaya sanaaa, naona nae atakutunza hadi ubabuni 😀😀
Hahaha
Asante kwa kunitia moyo, ngoja niagize na fanta blakalaHapana huwezi kuambulia patupu hivyo

nishushiemjomba unamuelewa lkn? Ujue mjomba naye mama msikilizeHahaha