Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
[emoji6][emoji6]
Wacha weeee.. mama pastaaa una offer yako.. chagua hotel yoyote nalipia 😀😀😀😀So I'm gonna love you like I'm gonna lose you
I'm gonna hold you like I'm saying goodbye
Wherever we're standing, I won't take you for granted
'Cause we'll never know when, when we'll run out of time
So I'm gonna love you like I'm gonna lose you (lose you)
I'm gonna love you like I'm gonna lose you
Sent using Jamii Forums mobile app
itabidi na wewe mdogo wangu tukuozemm 😀😀😀 nyumbani hatutaki watoto wa kikeOoh vyema
Naona unaburudika na nyimbo nzuri hapa .
Wacha weeee.. mama pastaaa una offer yako.. chagua hotel yoyote nalipia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 2119157
[emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356]
Na vigelegele vyako,sijui utaviweka wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha [emoji28]itabidi na wewe mdogo wangu tukuozemm [emoji3][emoji3][emoji3] nyumbani hatutaki watoto wa kike
umetupia tayari 😀😀Selfika za wapendao toka humu sizioni au muda bd?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ntaumbuka mimi, shindwa wewe mtoto
hata mtu chakeHaha [emoji28]
Mniozeshe kwa nani huyo ?
Hahaha ngoja aje......hajaoa kweli huyo jamaa [emoji23]
Sijui niseme ukweli kua na mimi sijaoaa..[emoji848][emoji848][emoji848]Hahaha ngoja aje......hajaoa kweli huyo jamaa [emoji23]
Sitaki kuwa nyumba ndogo mie .
akikubali niambie
Hahahaha sema tu labda kuna mtu anakucrush humu hujui .Sijui niseme ukweli kua na mimi sijaoaa..[emoji848][emoji848][emoji848]
Au ngoja nikae tu hapa chini ya mti, nisubirie embe liniangukie..
huyo mtu aache uogaHahahaha sema tu labda kuna mtu anakucrush humu hujui .
Upo tayari kumtunza mdogo wangu 🙄🙄akikubali niambie
😀😀😀.. tulia hapo weka kambi.. utakuwa na record siku ya valentineHahaha ngoja aje......hajaoa kweli huyo jamaa [emoji23]
Sitaki kuwa nyumba ndogo mie .
hahaha akubali kwanzaUpo tayari kumtunza mdogo wangu 🙄🙄
hawezi kukataa Tinsley ebu njoo tuyamalize kifamiliahahaha akubali kwanza
hahahaha.mimi cjaoa ndio nipo ktk kuchaguaHahaha ngoja aje......hajaoa kweli huyo jamaa [emoji23]
Sitaki kuwa nyumba ndogo mie .