Mkuu. Wewe kweli mtu hamtaniani hata kidogo tena dume jenzio halafu linakutag kwenye post yenye mambo ya kitoto namna hiyo eti kwa hisani yako utasemaje?

Nimeshangaa sana kwa sababu jamaa wala sina matani naye kabisa. Ndiyo. Heshima ni kitu cha bure na mimi huwa sipendi vurugu kabisa. Niko hapa kwa ajili ya matani tu na kusosholaizi wala sinaga ugomvi na mtu. Sijui jamaa kafikiria nini. Labda kalewa