Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Feb 13, 2022 #147,061 Saint Anne said: Kaka yangu wa kishua Click to expand... Supu flani hivi yani πππ
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,592 Reaction score 119,711 Feb 13, 2022 #147,062 Simara said: Ya Leo sijaifuta Mkuu, hiyo ya juzi huyu anazingua Anne Click to expand... Iko wapi mbona sijaiona. Eti wewe ni cheupe, wanyaki weupe eti ni adimu sana?
Simara said: Ya Leo sijaifuta Mkuu, hiyo ya juzi huyu anazingua Anne Click to expand... Iko wapi mbona sijaiona. Eti wewe ni cheupe, wanyaki weupe eti ni adimu sana?
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Feb 13, 2022 #147,063 Eeh zipo 6 Saint Anne said: Dah kweli zipo sita(6) kama ulivyosema Click to expand...
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Feb 13, 2022 #147,064 Nakuaminia sekta hiyo ERoni said: Uchebe unanawiri tu sis darling, hivi nimeanza kuwa mwanasaikolojia sio! Click to expand...
Nakuaminia sekta hiyo ERoni said: Uchebe unanawiri tu sis darling, hivi nimeanza kuwa mwanasaikolojia sio! Click to expand...
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Feb 13, 2022 #147,065 Simara said: View attachment 2118395 Tuna jambo letu saa kumi Click to expand... cc ERoni hii hapa
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,592 Reaction score 119,711 Feb 13, 2022 #147,066 Simara said: cc ERoni hii hapa Click to expand... Kama wewe ni SS fan basi tena, huwa sitaki urafiki na hii jeziππ
Simara said: cc ERoni hii hapa Click to expand... Kama wewe ni SS fan basi tena, huwa sitaki urafiki na hii jeziππ
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Feb 13, 2022 #147,067 ERoni said: Iko wapi mbona sijaiona. Eti wewe ni cheupe, wanyaki weupe eti ni adimu sana? Click to expand... nimekutag hapo chini.. sio mweupe ila nna karangi kidogo Kiukweli ni adimu nadhani sababu kule ni baridi sana
ERoni said: Iko wapi mbona sijaiona. Eti wewe ni cheupe, wanyaki weupe eti ni adimu sana? Click to expand... nimekutag hapo chini.. sio mweupe ila nna karangi kidogo Kiukweli ni adimu nadhani sababu kule ni baridi sana
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Feb 13, 2022 #147,068 ERoni said: Kama wewe ni SS fan basi tena, huwa sitaki urafiki na hii jezi Click to expand... Itakua wewe ni Mwananchi
ERoni said: Kama wewe ni SS fan basi tena, huwa sitaki urafiki na hii jezi Click to expand... Itakua wewe ni Mwananchi
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Feb 13, 2022 #147,069 Nkamu bana, eti karangi wakati ni cheupe peee. Ila baridi letu ni noma mweeh Simara said: nimekutag hapo chini.. sio mweupe ila nna karangi kidogo Kiukweli ni adimu nadhani sababu kule ni baridi sana Click to expand...
Nkamu bana, eti karangi wakati ni cheupe peee. Ila baridi letu ni noma mweeh Simara said: nimekutag hapo chini.. sio mweupe ila nna karangi kidogo Kiukweli ni adimu nadhani sababu kule ni baridi sana Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Feb 13, 2022 #147,070 Grahams said: View attachment 2118283 Wanasemaga watu wa huku sio romantic, mmeona Lugha laini iliyotumika hapo? Sitaki povu jamani Click to expand... Mbali na hiyo tu wanasemaga huo ukanda ni team Magufuli na hawajawahi kumkubali huyu Mama achilia mbali kukubali kutawaliwa na wanawake! Maana wao wanaamini siku zote mwanamke yuko chini tu na hatakiwi kuongoza popote pale!
Grahams said: View attachment 2118283 Wanasemaga watu wa huku sio romantic, mmeona Lugha laini iliyotumika hapo? Sitaki povu jamani Click to expand... Mbali na hiyo tu wanasemaga huo ukanda ni team Magufuli na hawajawahi kumkubali huyu Mama achilia mbali kukubali kutawaliwa na wanawake! Maana wao wanaamini siku zote mwanamke yuko chini tu na hatakiwi kuongoza popote pale!
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Feb 13, 2022 #147,071 Heaven Sent said: Nkamu bana, eti karangi wakati ni cheupe peee. Ila baridi letu ni noma mweeh Click to expand... Nkamu Lile baridi la Tukuyu huwa naona kama adhabu hasa mwezi wa sita.
Heaven Sent said: Nkamu bana, eti karangi wakati ni cheupe peee. Ila baridi letu ni noma mweeh Click to expand... Nkamu Lile baridi la Tukuyu huwa naona kama adhabu hasa mwezi wa sita.
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Feb 13, 2022 #147,072 Nkamu baridi la kuitwa kule Makete; hapana jamani, la Mbeya cha mtoto. Ila ukiwa Mbarali unaweza ukahisi haupo Mbeya Simara said: Nkamu Lile baridi la Tukuyu huwa naona kama adhabu hasa mwezi wa sita. Click to expand...
Nkamu baridi la kuitwa kule Makete; hapana jamani, la Mbeya cha mtoto. Ila ukiwa Mbarali unaweza ukahisi haupo Mbeya Simara said: Nkamu Lile baridi la Tukuyu huwa naona kama adhabu hasa mwezi wa sita. Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,592 Reaction score 119,711 Feb 13, 2022 #147,073 Simara said: nimekutag hapo chini.. sio mweupe ila nna karangi kidogo Kiukweli ni adimu nadhani sababu kule ni baridi sana Click to expand... Baridi hata juu milimani ipo tu, kwamba Tukuyu kuna baridi Kali kiasi hicho? Mbona birth rate yenu sio kivile, wavivu basiπ
Simara said: nimekutag hapo chini.. sio mweupe ila nna karangi kidogo Kiukweli ni adimu nadhani sababu kule ni baridi sana Click to expand... Baridi hata juu milimani ipo tu, kwamba Tukuyu kuna baridi Kali kiasi hicho? Mbona birth rate yenu sio kivile, wavivu basiπ
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Feb 13, 2022 #147,074 Heaven Sent said: Nkamu baridi la kuitwa kule Makete; hapana jamani, la Mbeya cha mtoto. Ila ukiwa Mbarali unaweza ukahisi haupo Mbeya Click to expand... Makete sijawahi kufika Nkamu Sehemu pekee ya baridi niliyofika ni Tukuyu basi ndo maana naishangaa
Heaven Sent said: Nkamu baridi la kuitwa kule Makete; hapana jamani, la Mbeya cha mtoto. Ila ukiwa Mbarali unaweza ukahisi haupo Mbeya Click to expand... Makete sijawahi kufika Nkamu Sehemu pekee ya baridi niliyofika ni Tukuyu basi ndo maana naishangaa
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Feb 13, 2022 #147,075 ERoni said: Baridi hata juu milimani ipo tu, kwamba Tukuyu kuna baridi Kali kiasi hicho? Mbona birth rate yenu sio kivile, wavivu basi Click to expand... Milimani wapi huko Moshi? Wenyewe watu wa Tukuyu washaizoea mimi huwa inanishinda. itakua wavivu
ERoni said: Baridi hata juu milimani ipo tu, kwamba Tukuyu kuna baridi Kali kiasi hicho? Mbona birth rate yenu sio kivile, wavivu basi Click to expand... Milimani wapi huko Moshi? Wenyewe watu wa Tukuyu washaizoea mimi huwa inanishinda. itakua wavivu
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Feb 13, 2022 #147,076 Tukuyu hakuna baridi kihivyo mbona; kule Makete nili-surrender mwenyewe Simara said: Makete sijawahi kufika Nkamu Sehemu pekee ya baridi niliyofika ni Tukuyu basi ndo maana naishangaa Click to expand...
Tukuyu hakuna baridi kihivyo mbona; kule Makete nili-surrender mwenyewe Simara said: Makete sijawahi kufika Nkamu Sehemu pekee ya baridi niliyofika ni Tukuyu basi ndo maana naishangaa Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 13, 2022 #147,077 9.8ms squared said: Supu flani hivi yani πππ Click to expand... Wa kishua unapiga mambo yako yaani
9.8ms squared said: Supu flani hivi yani πππ Click to expand... Wa kishua unapiga mambo yako yaani
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 13, 2022 #147,078 Simara said: Ya Leo sijaifuta Mkuu, hiyo ya juzi huyu anazingua Anne Click to expand... Bado naisubiri pm
Simara said: Ya Leo sijaifuta Mkuu, hiyo ya juzi huyu anazingua Anne Click to expand... Bado naisubiri pm
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 13, 2022 #147,079 Simara said: Mwee mwee Nkamu Ubholosi umeanza lini? Kushinda lazima Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Subiri mpigwe utajua kama ni uchawiπππ
Simara said: Mwee mwee Nkamu Ubholosi umeanza lini? Kushinda lazima Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Subiri mpigwe utajua kama ni uchawiπππ
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 13, 2022 #147,080 ERoni said: Kesho itabidi nifanye jambo, niambie kabisa mtandao wako, Ila ujuwe sitakutag wala nini... Leo nalea sitoki ndani!! Click to expand... Ule mtandao wetu pendwa wa airtelπ€π€π€ Safi,wewe ni mlezi mzuri.
ERoni said: Kesho itabidi nifanye jambo, niambie kabisa mtandao wako, Ila ujuwe sitakutag wala nini... Leo nalea sitoki ndani!! Click to expand... Ule mtandao wetu pendwa wa airtelπ€π€π€ Safi,wewe ni mlezi mzuri.