Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanza parefu Sana.

Nimekaa na mkaka mzuri mzuri Sijui kachanganyika na mnyarwanda yule jamani…yani nilikuwa namlalia makusudi.

Mkaka yule kajua kunifupishia safari
Eeeehhh!!

Yeye ameshukia wapi?
Mbezi au Shekilango???

Nimekumbuka kondakta fulani,wakati gari inaelekea mbezi,akawa anatoa matangazo;tangazo la kwanza akasema "ndio tumefika hivyo, nawakumbusha kuchukua namba..msiseme sikuwaambia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…