Selfika na JF: Snap it. Show it

@Shimba Ya Buyenze hebu pata picha mtu aliye nyuma yake anaona nini, hebu mtu aliyekaa kwenye kigoda anaona mpaka wapi, maswali ya msingi sana haya.
Mkuu usinipeleke kwenye kuwaza hayo...Acha tu mkuu wangu. Halafu kuna boya huko lishakinai hata halina hamu ya kuufunua huu mtandio dah!
 
Mkuu usinipeleke kwenye kuwaza hayo...Acha tu mkuu wangu. Halafu kuna boya huko lishakinai hata halina hamu ya kuufunua huu mtandio dah!
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…