Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,374
Weeee..kumbe mtoto mrembo alafu rangi ya mtume hivi????
Weeee..kumbe mtoto mrembo alafu rangi ya mtume hivi????
Hii nimeiwahi. Ya kwako ya mtandio ndo inaniuma. Sina raha kabisa yaani!
Si kama wewe tu shem?[emoji91][emoji91][emoji91][emoji8]Woiiii!rangi ya mtumee!!;[emoji8][emoji8][emoji8]
Na mimi nimebahatika, mwambie cocastic anidai vocha yake keshoDoh una machalee naona nawe umeipata yapili... shukrani kwa Satoh Hirosh
Kwakweli kwa jitihada zile, nina deni la kulipa kwako.
Natamani nikwambie uchague nikulipe nini roho inasita
Sasa ile ya mtandio ndo tunafanyeje bosi ledi?Ahaa safi sana ndio mjue jinsi gani bosslady anawajalii hataki Mpitweee na kitu[emoji23][emoji23]
hahahaDoh una machalee naona nawe umeipata yapili... shukrani kwa Satoh Hirosh
Depal ni mrembo kwelikweli,km kuna mtu anamzingua aniambie Tu namwibukia ndotoni kwenda kumpa adhabu!!Acha tu
Halafu unakuta
Kuna fala mmoja
Anamfokea
Anamkatia simu
Yaani utam kama huo
Kweli[emoji848]
mtandio kwa niaba yanguSasa ile ya mtandio ndo tunafanyeje bosi ledi?
Ebu kamilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wee umeona pia lol.
[emoji1787]Depal ni mrembo kwelikweli,km kuna mtu anamzingua aniambie Tu namwibukia ndotoni kwenda kumpa adhabu!!
Nami namuongezea mkuu... Atuambie anatumia mtandao gani!Kesho mapemaa nikumbushe tuu unambie na mtandao gani
Kumbe jf Una warembo hivi asee!!?Miss whiteeee!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wapo best... Wengi sanaKumbe jf Una warembo hivi asee!!?
LeoUsiwaze shos kesho mchana nikitoka church fastaaa nakutumia
Sawa bosi. Faudu huo mtandio [emoji1545]mtandio kwa niaba yangu
Huyu mtoto hata makamba akate umeme wake hakuna haja ya taa usiku,unaona kila kitu.. hupapasi Yani kuitafuta[emoji39]Doh una machalee naona nawe umeipata yapili... shukrani kwa Satoh Hirosh
Hebu rudia ya kipensi basi jomoneeeeh! Hata kama ni kwa sekunde tano tu!Si tayari jomoneeeeh au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa dok afu anajua mamboz si mchezo!!😜Huyu mtoto hata makamba akate umeme wake hakuna haja ya taa usiku,unaona kila kitu.. hupapasi Yani kuitafuta[emoji39]