Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Sure, WTI na BRENT ni tamuu kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na ngekewa na hizo commodities mbili.. ilifikia kipindi kwa wiki anatengeneza hata $ 10,000.. shida alikuwa mzee sana wa chini.. asahivi ameisha udongo umemaliza mwendo 😄😄😄😄Hahaaaaaa. Nadhani ukideal na WTI na BRENT only ukaachana na takataka nyingine asee utakula mema ya nchi.



