hahaha.. upo lakini kamandadah haya bana
NaikotiiiWa hivi mnakuaga na utamu wetu wa pekee sana nyie..
Ngoja nifute comment kabla hajasoma mama mchungaji
hahahahaWoiiii!rangi ya mtumee!!;![]()
Hahaha Kina Brian Spilner wakirudi wanakuta manyoyaaaa😘😘😘😘!Uko faster wee shouzzzy jomoneeeh lol
Wacha basi mama ndugu na wewee...Naikotiii
Acha tuSema nini mwanangu,wewe ni mrembo!!

rangi ya mtume.kimodel fulan hv.mixer kipensiKwani umesahau kwamba picha unatuma Kwa ajili yangu..why umefuta?
Weeee.....
hahahaWoiiii!rangi ya mtumee!!;![]()
Weeee.....
Hii nimepita nayo hii. Yako tu ndo ilinipitaa
Mtoto kiportable huyo, wana balaa lao hawaa
🤣🤣😂😂Acha tu
Halafu unakuta
Kuna fala mmoja
Anamfokea
Anamkatia simu
Yaani utam kama huo
Kweli![]()
👌
Haya Shimba Ya Buyenze nawe pitiapo hapa sasa tatizo unachelewaaaaaaa
Kakimbaumbau maridadi ajabu...kwa wapenda vimbaumbau (regardless of jenda
)...
Doh una machalee naona nawe umeipata yapili... shukrani kwa Satoh Hirosh
Hii nimeiwahi. Ya kwako ya mtandio ndo inaniuma. Sina raha kabisa yaani!Haya Shimba Ya Buyenze nawe pitiapo hapa sasa tatizo unachelewaaaaaaa
Kwakweli kwa jitihada zile, nina deni la kulipa kwako.Safi sana kwa zile jitihada za kukuamsha asee ingekupita ningeumiaaaa!!
Wewe teinaaaaaa 🤸🤸🤸🤸sema kingine..shos!Wee shouzzz nataka shape, ila tumbo sitaki hata.![]()