Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kheee
Hapo ni kifuani bablai… always kifua uwa na rangi ya peke yake kuzidi kwingine.

Camera za iOS zina mambo mwanangu [emoji1787][emoji1787][emoji23]

Kwa mpoki sijafika na pia kwa kina Lulu sijafika [emoji126][emoji126]
Kufika kesho mchana nitakupa mrejesho wa hili
Kama kuna lingine niongezee..

mahondaw hii nilikua nasema nawewe
 
Back
Top Bottom